by Evelyne_Buc
Kuwa na kila kitu kizuri kwenye maisha haimaanishi kuwa una furaha. Ed ni kijana mwenye mafanikio makubwa akiwa na umri mdogo. Wengi waliyatamani maisha yake, na kwa sababu hiyo alikuwa ni role model kwa vijana wengi wenye ndoto ya kufanikiwa. Akiwa kijana mdogo alijiwekea malengo ya kutoyaleta mapenzi kabla ya wakati wake. Alitumia muda mwingi kuweka imara msingi wa biashara zilizomilikiwa na Simunge Group of Companies. Aliogopa kuyapa nafasi mapenzi wakati alikuwa na mengi ya kufanya. Hakutak…
by Felix_Menda_amfex
Katika hatua za kulipa kisasi, dravo anahatarisha Maisha yake kwa kujaribu kuua viongozi wakubwa serikalini. kutokana na hayo maisha yake yanaingia katika misukosuko na kuangukia katika gereza hatari sana nchini Tanzania.
by Shinosi_Hatari
Through a young man's perception of reality. A gateway to insanity.
by Daniemuta
Muhtasari: Melodi ya Wakati: Hadithi ya Epic ya Kim DanUtanguliziMwaka 2024, Kim Dan, msanii wa K-pop na mtunzi wa miaka 21, anajitengenezea njia yake mwenyewe ya muziki. Usiku mmoja, wakati akicheza piano aliyoachiwa na babu yake, alilala na akaota juu ya tai mkubwa. Tai huyo anamfunulia melodi ya kale inayojulikana kama "Sauti ya Mbingu," na Kim Dan anatambua kwamba melodi hii imeunganishwa kwa undani na hatima yake.Sehemu ya 1: Kim Dan wa ZamaniMaelfu ya miaka iliyopita, katika jamii inayoshi…